Loading...

DIAMOND PLATNUMZ KUPIGA KAZI NA LUDACRIS NA SWIZZ BEATZ


Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto kufika.
Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake mpya na Neyo, Diamond, Ludacris, Swizz na wengine kibao waungana siku ya ijumaa waliungana pamoja kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Usher kupitia kurasa zao za Instagram.
Siku ya Jana Diamond aliungana na wasanii wakubwa kama ludacris, Swizz Beatz na wengine kumtakia heri ya kuzaliwa Usher, na kwa upande wa Diamond platnumz yeye aliandika hivi, “Happy Birthday Bro… Can’t wait for our Big day! @usher,” so tusubiri makubwa kwenye hili.



During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 Swahili Tanzania | Designed By Habari Zetu Daily
Back To Top