Loading...

MAMA DIAMOND PLATINUMS AFUNGUKA MAZITO KUHUSU ZARI THE BOSS LADY

Image result for MAMA DIAMOND VS ZARIIJUMAA ya wiki iliyopita haikuwa njema kwa Sanura Kassim ‘Sandra’, mama wa staa wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya poa kwenye gemu, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kusambaa ujumbe kwenye mitandao ya kijamii, unaodaiwa kuwa ulinaswa kutoka kwenye simu yake akimtumia shoga yake ambaye hajafahamika jina, ukimhusu Zarinah Hassan ‘Zari’ aliyezaa na Diamond. 
UJUMBE ULIKUWAJE? Katika ujumbe uliokuwa unasambaa, picha ya message ‘screen shot’ ya meseji iliyodaiwa kutoka kwa mama Diamond, ilikuwa ikionesha kwamba mwanamke huyo alikuwa akiomba msaada kwa shoga yake wa kumsaidia ‘kumchamba’ Zari mitandaoni na kama ikiwezekana, waende kumroga ili aachane na Diamond.Image result for MAMA DIAMOND VS ZARI VS WEMA
TEAM ZARI WATOKWA POVU 
Baada ya kunaswa kwa ujumbe huo, kundi linalomsapoti Zari kwenye mitandao ‘Team Zari’ lilianza kumshambulia mama Diamond kwa kumshushia mitusi ya nguoni na kumtuhumu kwamba eti yeye ndiye amekuwa chanzo cha mwanaye kutodumu na wanawake kwenye mapenzi kwa sababu anamuingilia na kumgombanisha nao. 
Image result for MAMA DIAMOND VS ZARI
MAMA DIAMOND AJA JUU 
Baada ya kusikilizia ‘machafuko’ yaliyokuwa yakiendelea kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram, mwandishi wetu alimtafuta mama Diamond na kutaka kujiridhisha kama ujumbe uliokuwa ukisambaa mitandaoni ni kweli ulitoka kwake na sababu zilizomfanya aandike maneno hayo. Baada ya kumpata na kuzungumza naye, mama Diamond alikuja juu na kueleza kuwa ‘hapendagi ujinga’ linapokuja suala la mambo ya kifamilia, akakanusha kwamba ujumbe huo haukuwa umetoka kwake na kwamba ulitengenezwa na wabaya wake kwa lengo la kumchafulia sifa mbele ya jamii.
 “Kwanza sipendagi ujinga mimi! Hata ukiangalia DP (display picture- picha ya utambulisho wa mtumiaji wa Instagram) haifanani na ninayotumia kwenye akaunti yangu halisi. Kwanza mimi ni mtu mzima na akili zangu, siwezi kutuma meseji kama hiyo, siwezi kuweka mambo ya kifamilia kwenye mitandao wala kwenye vyombo vya habari. 
“Natukanwa sana mitandaoni hasa baada ya bethidei yangu na zaidi matusi yameongezeka baada ya mimi kum-wish hepi bethidei Wema (Sepetu- ex wa mwanaye) lakini sina muda wa kubishana nao, Mungu atawalipia,” alisema mama Diamond. Mwandishi wetu alipomuuliza ni hatua gani anafikiria kuwachukulia watu waliofanya mchezo huo, alisema awali alifikiria kwenda polisi lakini busara zikamtuma kuacha kwani akilipeleka suala hilo mbele ya sheria, watakaokamatwa ni wengi kwa sababu anatukanwa na wengi na haoni sababu ya kufanya hivyo. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 Swahili Tanzania | Designed By Habari Zetu Daily
Back To Top