Hitmaker wa wimbo ‘Salome’ na Mkuugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema uwekezaji mkubwa alioufanya katika label yake ya ‘WCB’ hauwezi kumlipa kwa muda mfupi.
Label hiyo ambayo kwa sasa inafanya vizuri katika muziki ina wasanii 4, Rich Mavoko, Harmonize, Rayvanny pamoja na Queen Darlin.
Akiongea katika kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond alisema label hiyo kwa sasa inatumia pesa nyingi kuliko kuingiza.
“Bado sana haiwezi kulipa kwa muda mfupi, itachukua mwaka mmoja mpaka miwili ndo inanze kulipa lakini sasa hivi bado,” alisema. “Lakini furaha yangu ni kuona wasanii wa WCB wanaanza kuwa nominated kwenye tuzo tofauti tofauti za Afrika, nyimbo zao zinatambulika katika nchi tofauti za Afrika, wanatambulika na wasanii tofauti tofauti wa Afrika, so hicho ndio kitu ambacho nilikuwa nakipigania,”
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip

Post a Comment